Kiingereza chako ni cha Kichina?

Kiingereza chako ni cha Kichina?

Jobo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Posts
586
Reaction score
43
Nilipewa challenge hii lakini kwa kuwa kiingereza changu hakijakaa shule ninahitaji msaada wenu wa tadfsiri ya maneno haya kwa kiingereza:

"baba, mimi ni mtoto wako wa ngapi?"

Msishangae kuwa nimeuliza hapa kwenye ucheshi maana tafsiri ya maneno hayo inaweza kuwa burudani! Karibuni.
 
ha,ha,ha ebwana hii imekaa vizuri sana, poa niendelee kufikiria nitarudi.....
 
"Father, me is children yours of how many?"

How is that?
 
Nilipewa challenge hii lakini kwa kuwa kiingereza changu hakijakaa shule ninahitaji msaada wenu wa tadfsiri ya maneno haya kwa kiingereza:

"baba, mimi ni mtoto wako wa ngapi?"

Msishangae kuwa nimeuliza hapa kwenye ucheshi maana tafsiri ya maneno hayo inaweza kuwa burudani! Karibuni.

" Dad, what's my order of birth ?"
 
Nilipewa challenge hii lakini kwa kuwa kiingereza changu hakijakaa shule ninahitaji msaada wenu wa tadfsiri ya maneno haya kwa kiingereza:

"baba, mimi ni mtoto wako wa ngapi?"

Msishangae kuwa nimeuliza hapa kwenye ucheshi maana tafsiri ya maneno hayo inaweza kuwa burudani! Karibuni.

Tatizo si kila neno la kiswahili au kiingereza unaweza kulitafsiri moja kwa moja kama lilivyo.Wakati mwingine linatafsiriwa neno kulingana na context (linguistic context)iliyoko kwenye neno husika, Baadhi ya maneno huwezi kuyatafsiri kama yalivyo.
Mfano 1: Neno "FIRE" or "Hit the Road" or "dick head"

Mfano 2: Amevunja Ungo, Ukija uje umevaa shati la mikono mirefu, Mlala Hoi, Na mengine mengi.
 
Dad, where am I in the order of birth from your first to last born?
 
Father, in the list of all your children, what is my position in terms of birth date
 
Back
Top Bottom