hiram JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 266 Reaction score 393 Sep 4, 2021 #1 Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi
Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,729 Reaction score 10,500 Sep 4, 2021 #2 Hakupanga kuandika Hivyo.
Ndalilo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,343 Reaction score 7,516 Sep 4, 2021 #3 Itakuwa mkono umeteleza.
Mtu na nusu JF-Expert Member Joined Jan 9, 2020 Posts 680 Reaction score 1,306 Sep 4, 2021 #4 Wewe ungeandika nini? Acha nongwa yuko sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
Memento JF-Expert Member Joined Jun 13, 2021 Posts 4,423 Reaction score 9,986 Sep 4, 2021 #5 Mikono inataka kuandika English nzuri Ila ubongo hautaki Alafu anajikuuuta
Ngai Moko JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 1,301 Reaction score 1,738 Sep 4, 2021 #6 Kama tafsiri hiyo inashida ungetutafsiria pasipoti na shida ili tuelimishane
Shamkware JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 1,750 Reaction score 2,283 Sep 4, 2021 #7 anajifanyaga mzungu sana huyu dogo
The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 4,942 Reaction score 20,077 Sep 4, 2021 #8 Kuna kukosea na kuna kuharibu maana ama dhana nzima ya sentensi. Huyo amekosea kidogo tu.
Pacbig JF-Expert Member Joined Oct 15, 2017 Posts 1,095 Reaction score 2,087 Sep 4, 2021 #9 Hebu tuambie kakosea wapi, mbona yuko sawa tu. Shida ulitaka atafsiri neno kwa neno, wakati yeye kaeleza moja kwa moja maana ya sentesi nzima.
Hebu tuambie kakosea wapi, mbona yuko sawa tu. Shida ulitaka atafsiri neno kwa neno, wakati yeye kaeleza moja kwa moja maana ya sentesi nzima.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Sep 4, 2021 #10 Huyu Kotinyo wa Barca au?..
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,160 Reaction score 5,793 Sep 4, 2021 #11 Acha wivu boss
N Nephrone95 Member Joined Jul 15, 2021 Posts 12 Reaction score 12 Sep 4, 2021 #12 hiram said: Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi View attachment 1923845 Click to expand... Uibomoi ndio nini Kiswahili TU kibovu
hiram said: Mtangazaji huyu sijui mchambuzi aliweka nukuu ya kiingereza na tafsiri yake lakini mimi naona kama tafsiri hii ina shida hivi View attachment 1923845 Click to expand... Uibomoi ndio nini Kiswahili TU kibovu