Huyu jamaa inaelekea hakwenda shule kabisa na alipata bahati tu ya kuwa karibu na watu wanaozungumza,inafurahisha sana ila ujumbe umefika
Kwani kwenda shule ni kujifunza Kiingereza? Inawezekana jamaa kaenda shule na kichwani zimo, sema hajasoma kiingereza.
Very good example!
A very good example!
remember English is not our mother land lol!
Mkuu jamaa lakini amefikisha ujumbe aliokusudia ufike au sio?
happy birthday for your exam=nakutakia mtihani mwema