Nimekuwa nikichekeshwa sana na stand up comedies za kiingereza na nadhani za kiswahili hazibambi,hata movies pia ni hivyohivyo,mnaonaje wadau?Lugha yetu si tamu kama ya wazungu ama tunakosa ubunifu wa maneno?:confused2:
Yes,dr chichi yuko right kabisa in literature they say language can be manipulated according to the user and lg use. na vyote vinakua influenced na context plus hadhira ambayo inakua classified ktk age,sex,skills na status as wel.now say yes ndg mtoa mada!
watangazaji wa kiarabu na kizungu katika kabumbu wananibamba sana kuliko mpira ukitangazwa kiswahili....nafanya uchunguzi tatizo ni ubunifu au uhaba wa misamiati mingi ya kiswahili!
tena ni Mtambo wa Kitambo. bila shaka hawa ni wale akina Banda, Charles Njonjo etc ambao walikuwa white washed kuwa kingereza ndo kila kitu. no wonder haoni kama kiswahili kinaweza mchekesha mtu. by the way lugha haiwezi mchekesha mtu. akuchekeshaye ni mtumiaji wa lugha una uwezo wake wa kuitumia kwa mindhari ya kuchekesha. vinginevyo chukua oxford english dictionary uanze kusoma na kuanza kucheka! mtambo bwana, vp mdau!
neither language performs better then the other. kuna some comedies kama zile za POP CORN TV - zeze ambayo mara nyingi naangalia ktk citizen tv wanaongea kwa vitendo tu ila burudani yake we acha tu. kikubwa hapa ni jinsi gani uko mbunifu wa kujenga mvuto kwa watazamaji.