Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini.
kwa mfano Ugali
Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
Hawapiki ugaliKuna baadhi ya majina ya vyakula hayapo wazi kwa lugha ya kiingereza kiasi kwamba ukiulizwa kwa kushitukizwa huwezi ukajua ujibu nini.
kwa mfano Ugali
Unaweza ukaongezea mifano mingine hapo china na majina yake kwa kiingereza
Chapati in englishStiff porridge= Ugali.