dawacom
Member
- Dec 9, 2017
- 35
- 40
Hivi kuna sababu gani ya abiria ambao bado hawaja nunua ticketi kutozwa pesa endapo wakitaka kuingia Ubungo?
Lakini haishii hapo bali hata wale wasindikizaji nao hulazimika kuishia nje otherwise nao wanalazimika kutoa pesa.
Ni kwa sababu ipi ya kimsingi iliyopelekea wananchi kulipishwa?
Au ni matokeo ya sera za nchi ambazo bwana Trump ameziita the shithole countries?