Kiingilio ni bure Tanzania vs Uganda

Kiingilio ni bure Tanzania vs Uganda

Mtakao hudhuria hiyo mechi, muende na maji ya kutosha ili kupunguza presha. Taifa Stars ni kichomi.

Pale mnapoipa nafasi ya kushinda, ndiyo inafungwa.

All in all, nikiwa kama Mtanzania; naitakia ushindi.
 
Aahahaha
 
Na hii ndo sababu me sijaenda uwanjan

Timu ya taifa ina disappontment saana
 
Mtakao hudhuria hiyo mechi, muende na maji ya kutosha ili kupunguza presha. Taifa Stars ni kichomi.

Pale mnapoipa nafasi ya kushinda, ndiyo inafungwa.

All in all, nikiwa kama Mtanzania; naitakia ushindi.
Tatizo litakuwa hao walioongezwa.
Wakicheza tu,tumefungwa!
 
Tatizo litakuwa hao walioongezwa.
Wakicheza tu,tumefungwa!
Wasipocheza, kuna wadau watasema pia sababu ya kufungwa ni kukosekana kwa hao wachezaji wawili.

Jambo la kushukuru, hili kundi letu kina timu moja tu yenye sifa kufuzu. Hizo timu 3 zilizobakia, ni za wagonjwa. Na ukiwaangalia hao wagonjwa wote 3, Taifa Stars ana unafuu kidogo.
 
Wasipocheza, kuna wadau watasema pia sababu ya kufungwa ni kukosekana kwa hao wachezaji wawili.

Jambo la kushukuru, hili kundi letu kina timu moja tu yenye sifa kufuzu. Hizo timu 3 zulizobakia, ni za wagonjwa. Na ukiwaangalia hao wagonjwa wote 3, Taifa Stars wana unafuu kidogo.
Duh nimecheka sana...
 
Back
Top Bottom