Kiingilio ni bure Tanzania vs Uganda

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Kupitia Wasafi fm namsikia Paul mkai mtangazaji wa kipindi Cha sport arena Cha asbh hii amesema kiingilio n bure kabisaaaa.

Shime wana dsm nendeni mkaujaze uwanja na mkashangilie.
 
Mtakao hudhuria hiyo mechi, muende na maji ya kutosha ili kupunguza presha. Taifa Stars ni kichomi.

Pale mnapoipa nafasi ya kushinda, ndiyo inafungwa.

All in all, nikiwa kama Mtanzania; naitakia ushindi.
 
Aahahaha
 
Na hii ndo sababu me sijaenda uwanjan

Timu ya taifa ina disappontment saana
 
Mtakao hudhuria hiyo mechi, muende na maji ya kutosha ili kupunguza presha. Taifa Stars ni kichomi.

Pale mnapoipa nafasi ya kushinda, ndiyo inafungwa.

All in all, nikiwa kama Mtanzania; naitakia ushindi.
Tatizo litakuwa hao walioongezwa.
Wakicheza tu,tumefungwa!
 
Tatizo litakuwa hao walioongezwa.
Wakicheza tu,tumefungwa!
Wasipocheza, kuna wadau watasema pia sababu ya kufungwa ni kukosekana kwa hao wachezaji wawili.

Jambo la kushukuru, hili kundi letu kina timu moja tu yenye sifa kufuzu. Hizo timu 3 zilizobakia, ni za wagonjwa. Na ukiwaangalia hao wagonjwa wote 3, Taifa Stars ana unafuu kidogo.
 
Duh nimecheka sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…