SamTu160
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 624
- 568
Kuna deal la faster faster hapa.
Ukiwa kama mtangazaji, Kwa kutumia lugha ya Kiingereza ;
Tangaza goli alilofunga Hamis Tambwe na jinsi mashabiki wa Simba waling'oa viti uwanja wa Taifa.
Hapo ndio utajua Kiingereza kilikuja Tz kwa meli kikarudi UK kwa ndege. Tena sio bombardier, Airbus supersonic.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]