Kiini cha mahusiano ya CIA na Vatican

Je,yana nguvu kama ilivyo Latin America ,Ulaya na Africa?
 
unatafuta nguvu yake au existance yake?...umeangalia geographical location yanapoexist?...
Roman Catholic haina nguvu kubwa United Kingdom sababu na wao wana dhehebu lao lenye nguvu zaid (ANGLICAN).
 
maisha ya kiroho ya wafuasi zaidi ya bil.2 duniani yanaendeshwa na raia wa vatican wasiozidi 500,kuanzia papa/the holy see,makadinali,wanadiplomasia,walinzi au kazi nyingine za kanisa ....
roman catholic ni zaidi ya tuijuavyo..

Hapa sasa umeanza kuongea vizuri sana
 
Mimi sio Mkataoriki na wala sio msabato but kama uzi hu una ukweli wowote basi usalama wetu wa Taifa waba kitu cha kujifunza hapa. Maslahi ya taifa mbele na sio ya chama, yaani mzungu mmoja kaweza kurubuni Vatcan kwa maslahi ya USA, very strange. hapo ulipomalizia kuhusu ushawishi wa CIA na papa mpya pia pamenikumbusha UTABIRI wa the former president wa CUBA kwamba, "American will come to talk to us when they have a black president and the world have south American POPE" Na ni kweli ilitokea, USA walifanya mapatano wakati rais wa taifa hilo akiwa ni Obama na Pope wa RC akiwa huyu huyu mwamerika ya kusini.
 
nasikia Papa john paul alikiuka maagano hayo aisee wale jamaa wakampa dawa tamu.
Mkuu, sidhani kama hi kitu ni ya kweli; remember mara baada ya ukominist kufa duniani mwanzoni mwa miaka 90, Vatcan ilitoa bonge la big up kwa USA kwa mikakati yake and by that time kiongozi mkuu wa Vatcan was him
 
Hahahahaaa basi sawa, fahamu tu kwamba mkono wa kulia ni tofauti sana na mkono wa kushoto
 
Kitu gani Mkuu watajifunza hapo halafu Mkuu huyo jenerali kama unavyosema Mzungu mmoja hapo yeye alibeba uwakilishi na baraka zote isingekua rahisi waende watumishi woote wa CIA .
 
Yes brother, alienda kurubuni ili Amerika iwe salama na ukweli ndio kazi za usalama wa taifa, sio chama kiwe salama IS NCHI iwe salama and should be the first priority kwao
 
Dunia ina mengi yanayoendelea ambayo ni siri ya wachache.
 
maisha ya kiroho ya wafuasi zaidi ya bil.2 duniani yanaendeshwa na raia wa vatican wasiozidi 500,kuanzia papa/the holy see,makadinali,wanadiplomasia,walinzi au kazi nyingine za kanisa ....
roman catholic ni zaidi ya tuijuavyo..
Tatizo hujui unachokisema
Roma haina mamlaka kwa kanisa la nchi nyingine bali Roma ni kiunganishi cha kanisa popote pale duniani kuishi kwa amani na upendo hiyo ndio kazi ya askofu wa Roma
 
NDO MAANA KUTOKUWEPO KWA CATHOLIC CUBA NA KOREA KASIKAN ,KUMEFANYA KAZI YA CIA KUWA NGUMU !!!.

NDIO MAANA MAHALI AMBAPO HAMNA CATHOLIC POPOTE PALE LAZIMA MAREKAN AMUONE NI ADUI .

REFERS... CHINA,,,CUBA,,,IRAN,,,,N.KOREA,,RUSSIA. N.K

China hakuna Ukatoliki?, South Korea kuna Ukatoliki mbona ni marafiki wa Marekani? Mbona Saudi Arabia, Jordan hakuna Ukatoliki lakini ni Marafiki wakubwa wa Marekani?
 
Marekan popote ilipo IPO kwa manufaa yake na Catholic... Ziwe niuchumi ,,,kisiasa ,,kidini ..e.t.c
 
Hivi Marekani na Ukatoliki wapi na wapi?
Sasa najua unataman kujua sana mkuuu.
Ila.kasome history ya Jesuits , CIA .

ukitaka kujua marekan naukatolic wapi nawapi ??? .

KASOME SPEECH MOJA ALOITOA J.F KENEDY KUHUSIANA NA UPAPA ..NANDO ILOMFANYA ADUNGULIWE.
 
Kwani Kennedy alikuwa dhehebu gani?
 
Kwani Kennedy alikuwa dhehebu gani?
Ukiambiwa kila.kitu hutokua mdadisi

Nenda tafuta mkuuu !!!... Link kibao zinaelezea Kennedy kuzaliwa mpaka kuuwawa..

** Ninaamini ktk marekan ambayo Papa hana usemi ndani yake **

Nibaadhi yamaneno ambayo aliyatoa Kennedy moja yaspeech yake.

Hapa Kennedy alidhihirisha kua kumbe upapa unasauti ndani yamarekani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…