Kiinua mgongo walichopata wabunge kinachangia rushwa na uondoa usawa

Kiinua mgongo walichopata wabunge kinachangia rushwa na uondoa usawa

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
1,093
Reaction score
1,408
BAadhi ya wabunge wasitaafu wanatumia kiinua mgongo waliachopata hivi majuzi kurubuni wajumbe na hicyo kuondoa keshima ya chama chetu.

Kila kona rushwa. Hii inaondoa usawa kwa wagombea ubunge mwaka huu. Itakuwa vigumu sana wasio na pesa kupata ubunge.

Tunaimba uongozi wa chama chetu ccm uwe makini na ufanyie kazi changamoto hii.
 
Ni kweli bt kuzuia rushwa kwa hao waheshimiwa ni kaz sana
 
Nnani kakuambia kuwa mkono mtupu una ladha? Nenda kauze ngombe uje utachaguliwa
 
Wabunge waupinzani napataga ubunge bila pesa , lakini end of day mtu anasaliti ....ila wabunge waccm wanachopata wanawagawia wananchi ili warudi mjengoni
 
Mnahangaika wakati hao wanaopokea hyo kitu hata kesho yao hawaijui. Cha muhimu kuwe na usawa wa kipato ili kila mtu apambane na hali yake, kuliko hivi Leo njaa ni shida kwa majority
 
Back
Top Bottom