Kijacho na chafya, miayo na kikohozi ya mama yake

Kijacho na chafya, miayo na kikohozi ya mama yake

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Hivi ni kwanini kijacho anakatisha kwa kugusa kwa nguvu tumboni pale ambapo mama kijacho anapotaka kupiga chafya, kikohozi na miayo?

Akikugusa, chafya, kikohozi na miayo vinaishia njiani na wala havitoki!
 
Back
Top Bottom