Papa Mopao JF-Expert Member Joined Oct 7, 2009 Posts 4,153 Reaction score 2,647 Sep 24, 2015 #1 Hivi ni kwanini kijacho anakatisha kwa kugusa kwa nguvu tumboni pale ambapo mama kijacho anapotaka kupiga chafya, kikohozi na miayo? Akikugusa, chafya, kikohozi na miayo vinaishia njiani na wala havitoki!
Hivi ni kwanini kijacho anakatisha kwa kugusa kwa nguvu tumboni pale ambapo mama kijacho anapotaka kupiga chafya, kikohozi na miayo? Akikugusa, chafya, kikohozi na miayo vinaishia njiani na wala havitoki!