Kijana achana na timu zisizokua na faida

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Habar zenu wanajamvi

Kutokana na kile alichopost ndg angu edo kumwembe naomba nichangie kwa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo

Vijana wa kibongo sasa umefika wakat wa kubadilika ani unakuta kijana mshipa umemkakamaa anataka kuua mtu ukimwambia kiba ni tajir kuliko mondi,kijana wa kibongo anaijua historia ya mondi kuliko mondi mwnyw utackia ooh ile mark alonayo mkononi aliunguaga na uji wakat mama ake kaenda dukan,,ani naimagine huo mda unaokaa vijiweni kubishana ungekua umeenda kijijin kwenu kulima kilimo cha nanas sa hv c ungekua unakarbia kuvuna kabisa,kwann usimshindanishe baba ako na yule jirani enu tajir hao mondi na kiba wanakujua???,unakuta mtu anaanzisha kabisa thread et NALIONA ANGUKO LA MONDI mwingine KIBA BADO NI MASKIN KWA MONDI,,,shubamiit maza fanta mbna anguko la baba ako hulionagi,vijana ni wakat wa kuchange hao mondi na kiba washatoboaga na wanazid kutoboa we tangu umalze shule una kipi cha kujivuniaau hyo meza ya kioo ndo inakuchanganya wengine wapo kwao mpk sebule na vile vipaka vya kwao vishawazoea

nawasilisha

[HASHTAG]#kama[/HASHTAG] msumar umekuchoma saana kachome tetenas
 
Mapovu yote haya katika muziki yanatoka mfululizo tangu King alipochafua hali ya hewa. Huu wimbo wa Kiba haujaacha salama baadhi ya watu.
 
EDO NAYE MBABAISHAJI

NAYE NI KANJANJA TU

KAMA WATZ WENGINE

ASIFIKIRI ALL THE TIME YEYE NI MJERUMANI AU MUINGEREZA KISA ANACHAMBUA MPIRA WA EPL

UNAPOTAJA WATZ
NA YEYE YUPO,HEBU MAMBIEN MPIRA UMEMSHINDA KAMA MANGE SIASA ILIVYOMSHINDAAAA

HAWA NDO WANAFKI WANAOTUJAZIA MA mb yao kichwani na story za kusadikika

HEBU AACHANE NA MUZIKI AWACHIE WATU WA MUZIKI
WENYEWE WA INTERTAIN TU

upuuzi na ujinga wa waTZ ni kuamini ushabiki ni MPIRA TU

HUYU SIMBA
HUYU YANGA

MBONA KUNA WATU ARE FANS WA MPIRA NA HUWAAMBII KITU KUHUSU TEAM ZAO WANAZOSHABIKIA

WaTZ huyo EDO NI WAKUMPUUUZA TU

TENA NI MJINGA TU,MTU ANAYEAMINI KTK UTEAM WA MPIRA TU
 
Realy mzeee

EDO ANAAMINI TEAM NI SIMBA,MANCHESTER NA BARCELONA

I MEAN MPIRA TU

ATUACHE WATU TUONDOE MASTRESS YA KISIASA UJINGA TUU

KILA SIKU TUNAPELEKESHWA NA WANASIASA

TUNAGAWANA KUA FANS WA VYAMA TU HATA KWA MAMBO YA MSINGI

TEAM KIBA OYOOOOOO

TEAM MONDI OYOOOOOO

KUDADEKI alisema ney siasa imafunika mzikiii

ARUDI TENA SASA KUSEMA MAANA MJI UMECHANGE KABISA

HUKU KIBA KULE MOND

WACHA WAPIGE HELA TU

KULIKO KUSUABIKIA MISIASA
INAPIGANIWA
KESHO INANUNULIKA KWA BUKU JELO

ANAYE AMINI BADO KTK SIASA POLE
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
ujue bangi sio majani tu....!
mimi nashangaa wanavopita kukamata watu wanaovuta bangi za majani tu, wakati kuna watu wamelishwa bangi ya milele, kuwa shabiki/team kipofu ni zaidi ya bangi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi siwaelewaji kabisa yaani hayo mambo mpaka huku vijijini vijana wamekimbia mashamba,masaa mengi wapo vijiweni
 
Realy mzeee

EDO ANAAMINI TEAM NI SIMBA,MANCHESTER NA BARCELONA

I MEAN MPIRA TU

ATUACHE WATU TUONDOE MASTRESS YA KISIASA UJINGA TUU

KILA SIKU TUNAPELEKESHWA NA WANASIASA

TUNAGAWANA KUA FANS WA VYAMA TU HATA KWA MAMBO YA MSINGI

TEAM KIBA OYOOOOOO

TEAM MONDI OYOOOOOO

KUDADEKI alisema ney siasa imafunika mzikiii

ARUDI TENA SASA KUSEMA MAANA MJI UMECHANGE KABISA

HUKU KIBA KULE MOND

WACHA WAPIGE HELA TU

KULIKO KUSUABIKIA MISIASA
INAPIGANIWA
KESHO INANUNULIKA KWA BUKU JELO

ANAYE AMINI BADO KTK SIASA POLE
 
EDO NAYE MBABAISHAJI

NAYE NI KANJANJA TU

KAMA WATZ WENGINE

ASIFIKIRI ALL THE TIME YEYE NI MJERUMANI AU MUINGEREZA KISA ANACHAMBUA MPIRA WA EPL

UNAPOTAJA WATZ
NA YEYE YUPO,HEBU MAMBIEN MPIRA UMEMSHINDA KAMA MANGE SIASA ILIVYOMSHINDAAAA

HAWA NDO WANAFKI WANAOTUJAZIA MA mb yao kichwani na story za kusadikika

HEBU AACHANE NA MUZIKI AWACHIE WATU WA MUZIKI
WENYEWE WA INTERTAIN TU

upuuzi na ujinga wa waTZ ni kuamini ushabiki ni MPIRA TU

HUYU SIMBA
HUYU YANGA

MBONA KUNA WATU ARE FANS WA MPIRA NA HUWAAMBII KITU KUHUSU TEAM ZAO WANAZOSHABIKIA

WaTZ huyo EDO NI WAKUMPUUUZA TU

TENA NI MJINGA TU,MTU ANAYEAMINI KTK UTEAM WA MPIRA TU
 
Habar zenu wanajamvi

Kutokana na kile alichopost ndg angu edo kumwembe naomba nichangie kwa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo

Vijana wa kibongo sasa umefika wakat wa kubadilika ani unakuta kijana mshipa umemkakamaa anataka kuua mtu ukimwambia kiba ni tajir kuliko mondi,kijana wa kibongo anaijua historia ya mondi kuliko mondi mwnyw utackia ooh ile mark alonayo mkononi aliunguaga na uji wakat mama ake kaenda dukan,,ani naimagine huo mda unaokaa vijiweni kubishana ungekua umeenda kijijin kwenu kulima kilimo cha nanas sa hv c ungekua unakarbia kuvuna kabisa,kwann usimshindanishe baba ako na yule jirani enu tajir hao mondi na kiba wanakujua???,unakuta mtu anaanzisha kabisa thread et NALIONA ANGUKO LA MONDI mwingine KIBA BADO NI MASKIN KWA MONDI,,,shubamiit maza fanta mbna anguko la baba ako hulionagi,vijana ni wakat wa kuchange hao mondi na kiba washatoboaga na wanazid kutoboa we tangu umalze shule una kipi cha kujivuniaau hyo meza ya kioo ndo inakuchanganya wengine wapo kwao mpk sebule na vile vipaka vya kwao vishawazoea

nawasilisha

[HASHTAG]#kama[/HASHTAG] msumar umekuchoma saana kachome tetenas
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom