Kijana aliyetengeneza video ya kumtungua Rais Ruto atoweka, hadi sasa hajulikani alipo

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kijana wa Kenya kwenye page yake mtandao X kwa jina sniperkenya1 huko mtandao wa X ambaye alijizoelea umaarufu wa kutengeneza clip ya utani ikimtungua Rais Ruto huku maandamano ya GEN-Z yakiwa yamepamba moto.

Kijana huyo huko Nairobi kupitia mtandao wa x jeshi la polisi Kenya lilitoa ujumbe kumtafuta na tokea hapo ajulikani mpaka leo halipo.

GSSWPmDXsAAkjeD.jpg

GSSWPnvXMAABIWF.jpg

Sasa ndio mjue wasiojulikana ni polisi.

Pia soma ==>> Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama
 
Ni kawaida ya ma sniper kutafuta camouflage inawezekana kajificha sehem anasubiri Rais apite amdungue kwahiyo wasimtafute
 
Kweli yaani ushaambiwa we ni wanted afu wananchi wanataka waendelee kukuona
Hapo ukute kajificha au kafichwa na ndugu mpk soo liishe
 
Hawa Marais wa afrika Huwa wanaona Raha sana kuua watu.ulaya mambo haya hamna kabisa.
 
Kijana wa Kenya kwenye page yake mtandao X kwa jina sniperkenya1 huko mtandao wa X ambaye alijizoelea umaarufu wa kutengeneza clip ya utani ikimtungua Rais Ruto huku maandamano ya GEN-Z yakiwa yamepamba moto.

Kijana huyo huko Nairobi kupitia mtandao wa x jeshi la polisi Kenya lilitoa ujumbe kumtafuta na tokea hapo ajulikani mpaka leo halipo.

View attachment 3041321

View attachment 3041326

Sasa ndio mjue wasiojulikana ni polisi.

Pia soma ==>> Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama
If this stupid guy is abducted no blame to police or government he has just eaten the food he prepared well!
 
Back
Top Bottom