Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kweli yaani ushaambiwa we ni wanted afu wananchi wanataka waendelee kukuonaNi kawaida ya ma sniper kutafuta camouflage inawezekana kajificha sehem anasubiri Rais apite amdungue kwahiyo wasimtafute
Leo umeniacha hoi! Who is a president? mtumishi wako, umemujiri. Wanafanya hivyo kujipa UMungu kwa vile akili zetu ni maviMengine wanayataka.
Usimchukulie poa president
ajulikani mpaka leo halipo.
Wakenya wanajazana ujinga. Kumbuka Ruto nae anapambania kazi yakeMengine wanayataka.
Usimchukulie poa president
If this stupid guy is abducted no blame to police or government he has just eaten the food he prepared well!Kijana wa Kenya kwenye page yake mtandao X kwa jina sniperkenya1 huko mtandao wa X ambaye alijizoelea umaarufu wa kutengeneza clip ya utani ikimtungua Rais Ruto huku maandamano ya GEN-Z yakiwa yamepamba moto.
Kijana huyo huko Nairobi kupitia mtandao wa x jeshi la polisi Kenya lilitoa ujumbe kumtafuta na tokea hapo ajulikani mpaka leo halipo.
View attachment 3041321
View attachment 3041326
Sasa ndio mjue wasiojulikana ni polisi.
Pia soma ==>> Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama
Hujui Hitler alitokea ulaya?...ulaya mambo haya hamna kabisa.