Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
BroilerTumia simu yako vizuri. Tumia bando lako vizuri.
Na nimegundua naongea na mtoto...JF ndio umeingia juzi. Kaa kushoto huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ya kila mtu kiaje bana mpaka uwe na 666 kwenye utosi ndo uwe humo maana unavyojib watutatanisha wengine huku em tueleze sio ya kila mtyuh kiajeSijakuelewa kabisa.
Unasema hakuna pesa rahisi. Alafu hapo hapo unawachagulia vya kufanya!!!!!!!
Labda nikuambie kitu ndugu yangu, dunia ya leo inabadilika. Watu wanaenda na technology. Yaani hata uoto wa asili nao unabadilika.
Hatuna budi kubadili mifumo ya kufikiri pia.
Ni kweli forex ni ngumu ukiwa ndo unaanza. Ila ukishaizoea ni rahisi sana. Nina kama miezi minne sasa tangu niijue forex. Lakini naiona kesho yangu ikiwa kubwa.
Forex ni biashara kama biashara nyingine. Inahitaji muda, umakini na adabu. Hivyo usiwadanganye watu kuwa ni kamali.
Hata darasani hakuna somo rahisi. Lakini cha ajabu ni kwamba, lile somo unalofeli wewe, ndilo analofaulu mwenzako.
Mbali na yote, forex is not for everyone
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kitu kimoja na cha msingi sana ambacho kimenifanya niifurahie forex na kupata nguvu ya kujifunza zaidi ni kwamba forex is real, legal na na inafanywa na taasisi kubwa na nyeti hapa duniani na ili ufanikiwe kufainya hii biashara ni lazima usome (uingie darasani) either kwa kujisomea au kufundishwa! Na mnao mlaumu Mkuu Ontario mi nadhani ni kutoelewa alichokifanya na anachoendelea kukifanya.Nimewaasa vijana ambao hawapendi ukweli.
Vijana wengi wa kitanzania ni rahisi kuaminishwa vitu kwa haraka bila reasoning.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati naweka huu uzi hapa, nilitahadharisha sana.
Leo ndo mnajua mliibiwa.
Hakuna pesa nyepesi vijana
Kwani we siwendatukuhu????reka vantu vasakire mpesaa alaaaaaWatu wanapenda slope
Ova
Una mguu mwekunduMmmh
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Nami nataka kujiunga mkuuSijakuelewa kabisa.
Unasema hakuna pesa rahisi. Alafu hapo hapo unawachagulia vya kufanya!!!!!!!
Labda nikuambie kitu ndugu yangu, dunia ya leo inabadilika. Watu wanaenda na technology. Yaani hata uoto wa asili nao unabadilika.
Hatuna budi kubadili mifumo ya kufikiri pia.
Ni kweli forex ni ngumu ukiwa ndo unaanza. Ila ukishaizoea ni rahisi sana. Nina kama miezi minne sasa tangu niijue forex. Lakini naiona kesho yangu ikiwa kubwa.
Forex ni biashara kama biashara nyingine. Inahitaji muda, umakini na adabu. Hivyo usiwadanganye watu kuwa ni kamali.
Hata darasani hakuna somo rahisi. Lakini cha ajabu ni kwamba, lile somo unalofeli wewe, ndilo analofaulu mwenzako.
Mbali na yote, forex is not for everyone
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lugha gani hyo Teh TehKwani we siwendatukuhu????reka vantu vasakire mpesaa alaaaaa
Kwani Mkuu kwann umejiita mrangi?Mkuu Lugha gani hyo Teh Teh
Ova
Mmmh
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Napita tuNini sasa dear