M Mtimbichi
Member
- Feb 3, 2019
- 61
- 43
Wewe kijana ambaye mwaka wa tano sa hivi toka uhitimu babo una loblob mtaani tu huna kazi. Huu ndio wa kati wa kumeki future yako, huu ni wakati wa kati wakutumia vizuri haki yako ya kikatiba kuamua maisha yako ya baadaye.
Itumie haki yako vizuri isije ukajilaumu. Muda ukifika itumie haki yako vizuri. 2015, CCM kupitia kwa mgombea wao waliahadi mambo kedekede, kama vile ajira na kuwawezesha vijana.
Badala yake, ndo imekuwa kinyume chake. Kijana usikubali kudanganya tena. Asilimia kubwa ya population ni vijana so tukiamua tunaweza. Vijana tukapige kura kuamua mstakabali wa maisha yetu ya baadaye.
Vijana tukiamua tunaweza. Kijana usikubali kuwa mshabiki tu. Kijana fanya maamuzi sahihi kwa kutumia kutumia haki yako ya kikatiba.
Vijana hali ni tete, kijana unaambiwa eti ujiajiri, wakati watoto wao, wapwa zao, wanakula maisha kwa mishara minono na mrupurupu juu. Ila mtoto wa mkulima masikini anatakiwa akapewe shamba na baba yake alime huko ajiajiri.
Asilimia tisini (90%) ya vijana waliohitimu vyuo kuanzia mwaka 2015- 2019 wapo mtaani, hawana kazi.
Kijana, Kijana, Kijana, time is now! Don’t waste time, take action!
\