Kijana ana mistari ilokwenda shule: If your love is a crime then I want to be wanted

Kijana ana mistari ilokwenda shule: If your love is a crime then I want to be wanted

ka nokia kangu hakafunguki NK nitasikiliza baadae ,mpaka umeirusha saa kumi alfajiri bila shaka imekugusa! Hahahahahahahaaa
 
Hata mie huo muda aliorusha umenishangaza.................
Haya na mie nitaburudika baadae, ngoja niwahi hospitali........................
 
Bishanga; Mtambuzi na Eiyer jitahidi muusikilize huu mziki aisee; Baada ya kuusikia nimeshindwa kujizuia nikasema I need to share this with someone; and who else if not MMU members?!!.

Kweli ilikuwa late lakini ni mziki ambao ukishausikia unakumbuka siku ulipo fall in love; REAL LOVE.
 
Ndio nausikiliza sasa hivi............... Real touching,
 
Hata mie huo muda aliorusha umenishangaza.................Haya na mie nitaburudika baadae, ngoja niwahi hospitali........................
hospital ni vp tena ama waenda toa POP??? naomba nikusindikize babu!!!
 
Back
Top Bottom