nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Bishanga; Mtambuzi na Eiyer jitahidi muusikilize huu mziki aisee; Baada ya kuusikia nimeshindwa kujizuia nikasema I need to share this with someone; and who else if not MMU members?!!.
Kweli ilikuwa late lakini ni mziki ambao ukishausikia unakumbuka siku ulipo fall in love; REAL LOVE.
hospital ni vp tena ama waenda toa POP??? naomba nikusindikize babu!!!Hata mie huo muda aliorusha umenishangaza.................Haya na mie nitaburudika baadae, ngoja niwahi hospitali........................
Huo wimbo ni dedication tosha kwa shemeji yenu. Kaniteka haswaa!