Kijana anayeanza maisha usinunue godoro nunua mkeka huo huo kiti huo huo kitanda

Kijana anayeanza maisha usinunue godoro nunua mkeka huo huo kiti huo huo kitanda

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje. Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku.
 
Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje .Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku

Anunue sturi moja, akija mgeni yeye anajifanya anaheshima anakaachini anampisha mgeni lakini akitaka kulala anaegemea sturi kama mto.
 
Jamaa umepotoka sana,hayo Masharti ya mganga wako unataka uyaambukize kwa Great Thinkers
 
Utakuwa unatania, kama upo serious basi unahitaji maombi.
 
Back
Top Bottom