Kijana asemeshwa na koti aliloiba kwa Mzee Sumbawanga. Napendekeza huyo Mzee achukuliwe kisirisiri na serikali kusaidia baadhi ya Mambo yenye utata

Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatanena kwa sauti kuu.(Lk 19:40),,,Babu Kanyamaza Koti Likanena Kwa Sauti Kuu Nirudishee,,, Hakuna Jipya Chini Ya Jua Ni Nyakati Tu.
 
...Sasa kama Mama anatosha, Mchawi wa Nini Tena ??...n Hujamalizia kama Mwizi alirudisha Koti ama Las !!! [emoji57][emoji57]
 
Hivi Mzindakaya bado yupo? Yeye alikuwa akienda kuhutubia anavua koti analitundika hewani na linatulia hapo mpaka aliondoe.

Hakuna mtu aliyekuwa anadhubutu kugombea ubunge jimboni kwake
Alishafariki. Alikuwa Mbunge wangu Jimbo La Kwela linalopatikana wilaya ya Sumbawanga vijijini.
 
Shida hizi hadi mtu unaweuka unaanza kusema koti linazungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…