Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Msijidanganye wakuu , kuna sister mmoja kila mwezi huwa anakuja kunitembelea na kwenye pochi anakuwa na P2 pamoja na vipimo vya ukimwi basi tunashinda karibia wiki nzima ni kunyooshana tena ana joto haswaaaaaaa.

Akimaliza anarudi zake kwa watawa wenzake simple as that hapa ninavyooandika ameondoka juzi tu .

Ninachotaka kusema ni kwamba , msijihadae eti kwamba masister ndo huwa hawakamuliwi sjui nini? Hizo ni sheria tu alizoweka binadamu na zinavunjika kirahisi kama hivyo.

Kuliwa wanaliwa kirahisi tu and yes now nawinda wengine wa hapo karatu.
 
chai

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kama sister haogopi kwa nini kijana wa kiume aogope? Kwanza unajua nani alianza kumtongoza mwenzie?
 
Unaangalia upande wako tu. Unatembea aje na mwanafunzi? Huoni umeepushwa balaa ulilolifungia macho kwa tamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…