Kijana kunyoa mustachi ni kujitaftia umasikini uzeeni

Kijana kunyoa mustachi ni kujitaftia umasikini uzeeni

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Kijana mdogo wa miaka 20-40 kunyoa ndevu na kuacha ndevu za juu au mustachi (moustache) ni kujitabiria umasikini uzeeni.

Ndevu za mustachi ni ndevu za watu masikini na wasio na matumaini ya maisha.

Vijana acheni kunyoa moustache.
 
Kinana mdogo wa miaka 20-40 kunyoa ndevu na kuacha ndevu za juu au mustachi (moustache) ni kujitabiria umasikini uzeeni.

Ndevu za mustachi ni ndevu za watu masikini na wasio na matumaini ya maisha.

Vujana acheni kunyoa moustache.
Waache kunyoa kwa hiyo wazitoe au waziache?
 
Kama huu
images%20(4).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamzungumzia Abraham kinana au vijana

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
UMENENA VYEMA MKUU.....halafu pia MWANAMME KAMILI lazima uwe na VIASHIRIA VYA UANAUME,,, utanyoaje MZUZU?unakuta MTU AMENYOA ZOTE,,,amekuwa kama wale JAMAA ZETU....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wafanyabiashara humu kama mpo.

Naomba kujua kuhusu bei ya mafuta ya kupikia yani bei imekuwa juu sana inafkia hatua dumu la ltr 20 linauzwa sh 56500/= je wenzangu munanunuaje kwa dumu au ltre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom