The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Justify [emoji35] [emoji35] [emoji35]Kinana mdogo wa miaka 20-40 kunyoa ndevu na kuacha ndevu za juu au mustachi (moustache) ni kujitabiria umasikini uzeeni.
Ndevu za mustachi ni ndevu za watu masikini na wasio na matumaini ya maisha.
Vujana acheni kunyoa moustache.
Waache kunyoa kwa hiyo wazitoe au waziache?Kinana mdogo wa miaka 20-40 kunyoa ndevu na kuacha ndevu za juu au mustachi (moustache) ni kujitabiria umasikini uzeeni.
Ndevu za mustachi ni ndevu za watu masikini na wasio na matumaini ya maisha.
Vujana acheni kunyoa moustache.
Atakaelewa hapa anisaidie tafadhaliKinana mdogo wa miaka 20-40 kunyoa ndevu na kuacha ndevu za juu au mustachi (moustache) ni kujitabiria umasikini uzeeni.
Ndevu za mustachi ni ndevu za watu masikini na wasio na matumaini ya maisha.
Vujana acheni kunyoa moustache.
Mwishoni: vujana badala ya vijana nadhan ni typing errorKichwa: Kijana kunyoa mustachi ni kujitafutia umaskini...
Ndani:kunyoa ndevu na kuacha mustachi ni kujitabiria umasikini
[emoji848]
Ulitaka iwe sindano, isiwe uzi? Wtf! Get a life sister. Achana na waume za watu.Uzi tayari.
- KANA -
Mwanzoni :kinana badala ya kijana
nahisi huo ni ruksa