Kijana Mdaku
Member
- Mar 6, 2014
- 24
- 2
unaweza kunipata pia kwa nambari 0726 969 211 ukiwa na swali lolote ama upende(like) ukurasa wa "Kijana Mdaku-kijana mdomo fun page" katika facebook tujuane na tubonge. nina umri wa miaka ishirini na mimi ni mwandishi chipukizi wa riwaya,mashairi na hadithi fupi ingawa sijachapisha hata moja.namwomba mola ndoto yangu itimie siku moja panapo majaaliwa pamoja na ndoto yangu ya utangazaji katika kituo chochote cha redio sehemu ya Afrika mashariki na nitajaribu kufanya vizuri.ukipata ujumbe huu wajulishe wot