Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 26, 2025 #1 Kijana Mkeleketwa wa Chama Cha Mapinduzi, Mtindi Kabourou amedai Kuwa mpaka sasa Tanzania hakuna chama Pinzani kinachoweza Kuwa mbadala wa CCM Kwakuwa Vyama hivyo vimekosa sera na Msimamo wa kifalsafa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Kijana Mkeleketwa wa Chama Cha Mapinduzi, Mtindi Kabourou amedai Kuwa mpaka sasa Tanzania hakuna chama Pinzani kinachoweza Kuwa mbadala wa CCM Kwakuwa Vyama hivyo vimekosa sera na Msimamo wa kifalsafa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,756 Reaction score 11,435 Jun 26, 2025 #2 Amekulaa amevimbiwa na kupewa baskelii bac anaonaa maishaa yameishaaa ...madako yakeee..