KIJANA MSHONAJI ANATAFUTWA

KIJANA MSHONAJI ANATAFUTWA

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
fursa.
natafuta kijana umri miaka 18 - 30. Awe anajua kushona na kudesign nguo kwa cherehani.
Nataka kuingia ubia wa kufanya kaz pamoja.
Mtu yuko interested anifwate inbox.
 
Kuna jamaa yupo shy town.. Kama hutojal nkuunganishe naee
 
Back
Top Bottom