Kijana mtafutaji, ukijenga Dar unaulazimisha umasikini uendelee kuwepo mlangoni mwako

Mzee wa old school

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
873
Reaction score
1,405
Vijana wenzangu mnaojitafuta katika maisha, mkitaka kujenga, singatieni umbali na mahali mnapofanyia kazi, hasa kwa wale wa Dar es Salaam... jiji la fujo. Nasema haya kwa kuwa yamenikuta... Ni heri ningenunua kiwanja mkoani kwetu, maana pesa niliyoitumia huku, kwa kule ningepata kiwanja karibu na mjini na kilichopimwa kabisa. Na pesa niliyoitumia kujenga kwa Dar, kwa kule ningejenga nyumba kali na ingepata mpangaji chapu na kuanza kula kodi. Huku Dar ningeishia kupanga tu, maana sio kwa hasara hii.

Hebu fikiria, nilijiona mjanja nikanunua kiwanja Chanika kwa zoo, nikajisemea moyoni hakuna kwako mbali... Hahahaha! Kilichonipata, sasa nakaribia kunyoosha mikono juu... Kila siku ili nifike mishe mishe lazima niamke saa 9 za usiku, nikwee boda hadi stand, huku daladala hadi town 1,200; kwenda hiyo jumla 2,200. Na hapo nimebahatisha gari ya town, wakati mwingine natumia hadi 2,700. Kirudi inanilazimu kugeuka na gari pale Boma maana Machinga Complex hakupandiki ikifika saa 11 jioni... Gari inafika fulu nyomi, hapo natumia 1,900, jumla 4,100 kwa mwezi. Hapo hujala walau hata mlo mmoja na bado kufika nyumbani ni saa 4 au 5 usiku, unalala hoi.

Daah! Hapo nikamkumbuka rafiki yangu mmoja alisema, "Dar umeenda kutafuta, wekeza home; miaka inakwenda, miji inakua, Dar utapoteza pesa." Dooh! Nikakaza shingo, leo najifunza kwa njia ngumu, walahi!
 
Niuzie mimi, nina mashamba yangu ya kuku Homboza.
 
Njoo hapa kinole mzee heka laki mbili tuu mwanawane
 
Back
Top Bottom