rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Siku hizi limeibukaa wimbi la Utapeli hasa toka Kenya ambapo vijana wa Kenya na wachache watanzania wanawaambia vijana wa Kitanzania kuwa wao wana Odds za UHAKIKA so uwape hela wakuuzie. Vijana wengi wameshatapeliwa sana, wengi huuziwa odds wanaziamini wanaweka pesa ndefu nayo wanapigwa!!
Ewe kijana mwenzangu kuliko Kununua odds bora uache kubet, hiyo hela ufanyie mambo mengine. HAKUNA ODDS ZA UHAKIKA USIDANGANYIKE UKANUNUA ODDS!! Epukaa Matapeli pia usifanye utapeli wa kuuzia odds watu.
Acha tujiajiri maana serikali haina ajira[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]