Pole sana kijanaWapuuzi sana jamaa walee afuu ukitoa helaa ni Lost daily
Fixed Match eti unauziwa KES 2,000, (Less than Tzs 46,000),Siku hizi limeibukaa wimbi la Utapeli hasaa toka Kenyaa ambapo vijana wa Kenya na wachache watanzania wanawaambia Vijana wa Kitanzania kuwa wao wana Odds za UHAKIKAA so uwape helaa wakuuzie.. Vijana wengi wameshatapeliwa sanaaa wengi huuziwa odds wanaziamini wanaweka pesa Ndefu nayo wanapigwa..!! Ewe kijana mwenzangu kuliko Kununua odds bora Uache kubet hiyo hela ufanyie mambo Mengine... HAKUNA ODDS ZA UHAKIKAAA USIDANGANYIKE UKANUNUA ODDS...!! Epukaa Matapeli...Pia Usifanye utapeli wa Kuuzia odds watu...
Achaa tujiajiri maana serikali haina Ajiraa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huo wa juu waliniuzia buku10 nikashinda gem ya chini kabisa baada ya matokeo wakatuma huo wachini baada ya gem kuisha;sasa niwauliuliza kwann sjapatia zote walizonitumia wakasema nlitoa pesa kidogo alafu akikutumia anakwambia single first then combine;aloo nliwakimbia kwakuwa nlikula odds zangu 8 napesa yangu nikarudishaWalinipa mkeka matokeo yakawa tofauti alafu wakatuma matokeo sahihi[emoji116] View attachment 771705View attachment 771706
Kuwa mpole hela itakuja tuNimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado haijafika japokuwa kule premier bet zinaonesha zishatoka maana salio limepungua. Lakin vodacom wanasema hawazion pesa hizo niwasiliane na premier bet. Wamenipa namba lakin zote hazipatikani. jamani naomba msaada wenu nipate pesa zangu. Nisaiidie namba za wakala yyte wa premier bet.
Sawa
Siku hizi limeibukaa wimbi la Utapeli hasaa toka Kenyaa ambapo vijana wa Kenya na wachache watanzania wanawaambia Vijana wa Kitanzania kuwa wao wana Odds za UHAKIKAA so uwape helaa wakuuzie.. Vijana wengi wameshatapeliwa sanaaa wengi huuziwa odds wanaziamini wanaweka pesa Ndefu nayo wanapigwa..!! Ewe kijana mwenzangu kuliko Kununua odds bora Uache kubet hiyo hela ufanyie mambo Mengine... HAKUNA ODDS ZA UHAKIKAAA USIDANGANYIKE UKANUNUA ODDS...!! Epukaa Matapeli...Pia Usifanye utapeli wa Kuuzia odds watu...
Achaa tujiajiri maana serikali haina Ajiraa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]