nchi gan?
Upo nchi gan? Kwa hela yako uliyonayo waweza kufanya biashara endapo utakuwa tu unanunua hyo bidhaa then uuze sehemu ambyo huhitaji kuwa na fremu, coz ukisema ukodi frame garama ztakuwa kubwa. All the best, kaz n kaz knachohtajika ni kuwa na malengo.
Nakushauli ufungue ata genge kwani iyo lakitatu ukifanya biashara ya kusafili na nauli umoumo na wasiwasi na kiwango cha mzigo utakacho beba kwaiyo ni bora ufanye biashara ya genge kwanza ili kuongeza zaidi mtaji.
kaka kama uko malawi umeajiliwa ni bora uongeze kwanza huo mtaji maana kwa bongo ni mdogo sana kama una malengo makubwa njoo kama unataka kua MAC' MUGGA nawasilisha wakuu
Malawi sio nje ya nchi...ni nje ya Tanzania!!!malawi My Dear!
Malawi sio nje ya nchi...ni nje ya Tanzania!!!
Nawashukuru Nyote Mnaoendelea Kunishauri!!
Malawi sio nje ya nchi...ni nje ya Tanzania!!!