Allan Pontian
Member
- Jun 26, 2024
- 14
- 20
Ndugu zangu Wana jukwaa hili. Nategemea kutoa andiko kwa vijana. Kutokana na uzoefu wako naomba unisaidie kujibu haya maswali yangu.
1. Ni jinsi gani kijana anatakiwa aishi ili kuwa na furaha bila uchumi/kipato?
2. Ni jinsi gani kijana anatakiwa kutafuta uchumi/kipato ili aishi kwa furaha?
Nitashukuru kwa muda wako na majibu yako.