Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

Mmh! anyway ahsante sana dada! Lakini mie si mwanaume wa hivyo! eti huyu mama anitumie alafu amlengeshe na shoga yake,nooo hawezekani na sitakuwa teyari kufanya hivyo. Imetokea tu kwa huyu mama na from nowhere naona kama tunapendana hivi. Na huyu mama mume wake yuko busy na misafari ya kikazi nje ya nchi. so mama hana mtu wa kumuhudumia kimapenzi. Amini huyu mama anajiheshimu sana na si muhuni kihivyo! sema ni bahili tu
 
Kuna kitu cha maana sana atakufanyia? Nadhani atakupa jeneza la dhahabu...take care utapotea!
 
!
Mkuu Matola mie nishakuzowea wewe....hata kule kwenye jukwaa letu la siasa huwa na majibuya kivijembe jembe kama haya. Je, unajuaje kama mie
sina gari? Kwa taharifa yako mie ni mwanaume lijali kuliko unavyo fikilia. Anywayz ahsante kwa mchango wako mkuu!
 
Yaani hauna aibu kabisa mkuu hongera,...
Nisinge thubutu kuweka kitu kama hiki hapa achilia mbali kujisifia.
Pole sana kaka,.......Ila YESU anakupenda sana
 
Hawezi kukupa hela kwa sababu anajua utaenda kutafuta vibinti vya rika lako na utatumia hela zake kufanya matanuzi navyo. Ila yote katika yote si vizuri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu.
 
mwezi wa saba huu ndio unastuka biashara haiendi? umenogewa huna lolote?
 
<br />
<br />
we ni manamba so unapaswa kupewa ujira mdogo ili uwe tegemez kwa mwajiri
 
Hamna cha pekee utakachopata utaishia kulemaa mtoto wa kiume tafuta kwa nguvu halali ndio utaenjoy,mijimama ya siku hizi mijanja ataishia kukulipia hoteli na kukupa vielfu 50 tu mwishiwasiku atampata mwenzako na we utabaki kama ****
 
hata siju nianzie wapi....
Mkuu The Boss,ni kweli hiki kitu ni pasua kichwa hasa! kwahiyo sishangai unapojikuta unashindwa hata cha kuchangia! anywayz tusameheane maana
hakuna aliyemtimilifu hapa duniani
 
hehehe Dah! kwa hali hii mjomba, bora baki huko huko jukwaa la siasa aisee! huku MMU ubakie kuwa msomaji tu
kamanda hata jukwaa la Siasa napendekeza wamfungie asiweze kupost,mtu anayekubali kuwa malaya wa kiume tena kwa mama wa over 60 ataleta mawazo gani yenye manufaa kwa Tanzagiza ?
Pili jina alilochagua kulitumia hapa linaashiria mwisho wake mbaya,Mshikachuma angalia lilivyofanana na usemi mpya uliobadili ule wa kushikishwa ukuta,siki hizi wanaita KUSHIKISHWA BATI-yaani paa la nyumba.
Mshikachuma nakuhakikishia kuwa kwasababu mume wa huyu mama atakuwa over 65 akigundua uhusiano huu ni dhahiri hataweza kukushugulikia mwenyewe lakini kuna uwezekano mkubwa akakodisha kundi la wahuni ambao mziki wao hautausahau maishani mwako.
 
ulimpenda kwa vile ulijua ipo siku atakutoa........jimama wa 60 wewe hata 30 huna...........kijana ondoka huko kwenye maisha tegemezi........tafuta kijana mwenzako wa kuanzisha maisha yenu na kujenga familia
 
huyu hawezi kutoka kwa hilo jimama......cha msingi fanya kazi kijana na inaonekana umekuwa adicted kwa hilo jimama...anayway kuna siku utajuta kijana......
 
.


KWAHIYO WEWE UNATAKA KUMJEUZA BUZI LAKO?????
KWANI NA WEWE HAUPATI RAHA?
 
Jamani hii dunia... vituko kila uchao. Ukihadithiwa waweza bisha sana, kumbe hufanyika. Nakushauri kama upo kibiashara basi pesa mbele kabla ya libeneke, mwone atasemaje?
 
wewe ni wakuchapa makofi tu, hakuna haja ya ushauri na tayari unangoma , subiri kuanza dozi hatimaye tukuzike . pumbafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…