Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

<br /
pole kijana, huyo mama sio m2 mzuri kwako atakuharibia maisha yako....!

Vijana wenzako huwaoni? Kupenda dezo ni ugonjwa mkubwa sana. Huoni hata aibu kumlala 'mama yako'?

Mkuu hebu punguza hasira! hivi ni vitu vya kawaida hapa mjini! naona unaponda jina langu na kulitolea mifano kibao isiyo ya ukweli.
Hivi unafikiri watu wamekaa ndani ya ndoa zaidi ya miaka 20 au na zaidi unafikiri hawachokani? ukizingatia baba anasafiri sana kikazi nje ya nchi na pia anapesa za kumwaga za kuspend na wanawake wengine? Ninakiri kwa kupiga magoti kuwa ninachokifanya si kizuri machoni mwa watu na kwa mungu pia, lakini haya ni mambo ya kawaida tu hapa mjini and i'm not the first one to do that.....sema kwa vile mama mwenyewe akati ndiyo hivyo tena nafikiria kusepa

wanaita ujira wa mwia.......(according to Shibuda)

huyu kijana hana akili timamu...

inasikitisha sana cjui kama angekuwa wa jinsia ya pili na tabia hizi angekuwa anatuelezea madhara gan muda huu

Yaani kila nikipitia huu uzi; mbavu sina kwa kucheka!

Hii kitu sio kweli wala nini; amereverse trend makusudi ajue what do pipo think when it comes to mwanaume kutaka kumchuna mwanamke! And l like it, the way watu walivyomshambulia n the guy is so cool!

Khaaaaaaaaaaaa, puuuuu. Choo cha baa.
Njaa itakuua kabla hujawa kijana kamili. Elimu yako ni darasa la ngapi wewe? Unatuaibisha wanaume.

We ni kilema huwezi kujitafutia vya kwako? We subili kupigwa pala la nguvu hiyo ndio itakuwa zawadi yako,si unajua mla huliwa?

Mtoto wa kiume hategemei mwanamke, unaweza kupakatwa hivi hivi.

help me with my kiswahili,female prostute anaitwa malaya, wa kiume aitwaje? globalisation is affecting me big tyme,mweh!

But girl prostitution is nhmwaaaaahh eeh?

help me with my kiswahili,female prostute anaitwa malaya, wa kiume aitwaje? globalisation is affecting me big tyme,mweh!

Mwayomwayo huyu....kama nilimwelewa Bi Mkubwa FF mahali!

Hivi kijana lijali huoni aibu kujiingiza kenye uhusiano ili ujipatie pesa??
akitokea basha wa zenji mwenye mkwanja utapona kweli, kust askin sina nia mbaya
ila inasikitisha sana, kwani huyo mama alikuwa hakufurahishi ni wewe tu ulimfurahisha?

na ulivyo zoba unatuambia sisi ili iweje ? tukamwambie huyo mama akupe mshiko zaidi?......na kwa nini unajisifu na service yako??hilo jimama ndio linajua kama unajituma ipasavyo au mbabaishaji tutolee upuuzi wako hapa

Mtoto wa kiume hategemei mwanamke, unaweza kupakatwa hivi hivi.
Mkuu Kiranga heshima mbele! Hapa hapakatwi mtu ng'o! kila kitu kinaenda kimpangilio....na hivi keshokutwa tunaenda kupumzika visiwa vya karafuu kwa siku 2....sehemu moja inaitwa Nungwi. Ila siyo siri mkuu wangu huyu mama ananipenda sana,ila ni mkono wa birika. Anywayz ahsante kwa mchango wako

help me with my kiswahili,female prostute anaitwa malaya, wa kiume aitwaje? globalisation is affecting me big tyme,mweh!

Mimi namwita Malaya pia, why not? Ila kwa mtazamo wangu wote hawafai, awe mwanamke au mwanaume equally!

Kwakua ni mke wa mtu tegemea mambo yafuatayo,KUKATWA UUME,KUINGIZWA SPOKU KWENYE UUME AU KUFANYIWA KITU MBAYA

Hivi kijana lijali huoni aibu kujiingiza kenye uhusiano ili ujipatie pesa??
akitokea basha wa zenji mwenye mkwanja utapona kweli, kust askin sina nia mbaya
ila inasikitisha sana, kwani huyo mama alikuwa hakufurahishi ni wewe tu ulimfurahisha?
dear salama ? huyu bwana mdogo hataki kukubali kuwa kama kakubali kulelewa na jimama na labda limwache na hali ni mbaya kifedha nini kitazuia alelewe na jibaba lenye hela kama kazoea kulelewa ?
Hataki pia ukweli kuwa mume wa mama akigundua kuna uwezekano wa yeye kukodiwa wahuni kumuondoa bikra ya mtandao tena bila kinga na uwezekano wa kuambikizwa Ukimwi na huyo jimama au hao vijana wa kihuni ?

Hivi kijana lijali huoni aibu kujiingiza kenye uhusiano ili ujipatie pesa??
akitokea basha wa zenji mwenye mkwanja utapona kweli, kust askin sina nia mbaya
ila inasikitisha sana, kwani huyo mama alikuwa hakufurahishi ni wewe tu ulimfurahisha?
Mkuu Gaga punguza ukali wa maneno! Hao mabasha wa zenji na comoro hawapo kwenye topic yangu, ila kama unataka nifunguke zaidi sema tu
nitakuambia ninachowafanyiaga watu kama hao. Alafu i wish ungeniona how i look! mzee ninabody ya kiwest Africa,kitu black alafu nimepanda hewani.....yaani ni full kuuza sura! anyway hata hivyo ahsante kwa mchango wako

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…