Kijana natafuta kijana mwezangu awe mke

Kijana natafuta kijana mwezangu awe mke

Ed edd n eddy

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
212
Reaction score
270
Habari zenu

Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi dar es salaam.
Natafuta mke wa kumpenda na kujenga familia nae.kwangu naona huu ndio wakati sahihi wakuanza kujenga familia.

Kwanini natafuta jf?sababu jf ina users zaidi ya laki nne hivo inakua rahisi kumpata mwenye sifa unazotaka wewe kuliko kuhangaika mtaani.

SIFA ZA NIMTAKAE
Awe muislamu mchamungu
Atleast awe amesoma hata diploma
Awe anajishughulisha na chochote
Awe mzuri na asiwe mnene
Asizidi miaka 30
Asiwe na mtoto
Awe tayari na maisha ya ndoa kwa raha na shida.

SIFA ZANGU
kijana wa kiislamu mchamungu
Sina mtoto na wala situmii kilevi
Nimesoma na nimejiajiri kwa kufanya biashara
Nina mapenzi ya kweli.

Kama una sifa hizo sio vibaya kujuana zaidi kwa kunitumia msg pm
 
Haya sasa jana nusu bei paaap fursa hiyo vijana changamkeni...

Kulia lia kuhusu kuolewa leo mwisho ...

Pia tuna usubiri mrejesho mkuu....
 
Kigezo kikuu huna pesa mzee

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Wadada kama wewe siyo mzuri na haujafika diploma usije ukaaply huku.....
 
Karibuni kijana mwenzenu sijapata hata pm moja...je inamaanisha sijakidhi vigezo?
 
Karibuni kijana mwenzenu sijapata hata pm moja...je inamaanisha sijakidhi vigezo?
 
Back
Top Bottom