Nipo mbali na jiji bossAsante boss ,karbu pia uniungishe
Amejiajiri kama wingi. Hajasema amefungua duka(jibu la kama yeye ni dalali au la!)soma vizuriMbona hujaweka hata picha ya baadhi ya bidhaa zako au wewe ni dalali?
Anataka uweke picha za bidhaa zako hapa, huwezi kujua kama anataka kununua ama wateja utapata humuKWAN PICHA NDIO TIKETI YA KUONESHA MM DALALI AU LAH?
Weka picha...usiishie tv tu..weka electronics zote..za jikoni nkThanks karbu uniungishe
Nimegundua una lugha kali sana kwa baadhi ya wateja wako, nimeingia kwenye ule uzi wako wa kununua kwa bei ya store nimeangalia unavyojibizana na wateja nikagundua sio sawa, jirekebishe customer care utafika mbali mkuuKWAN PICHA NDIO TIKETI YA KUONESHA MM DALALI AU LAH?
Karbu sanaNimegundua una lugha kali sana kwa baadhi ya wateja wako, nimeingia kwenye ule uzi wako wa kununua kwa bei ya store nimeangalia unavyojibizana na wateja nikagundua sio sawa, jirekebishe customer care utafika mbali mkuu
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app