Tz imeshauzwa kwa mafisadi na habari yake imeshakwishilia mbali,andaeni vizazi vyenu kutafuta taifa jingine kwani mmesinzia hadi kuuzwa Mchana kweupee,π€Mwanajamvi na mwana JamiiForum ulioko Afrika Mashariki...! Kijana ndio nguzo ya Taifa lolote dunia Je? Kijana wa Afrika Mashariki una nini juu ya taifa lako na pia watu wengine wanapenda kujua maoni yako unafikiri nini juu ya Taifa lako kama kijana na mwananchi wa taifa lako.
Vijana aka Gen Z ndio taifa la leo na kesho wajibu mkuu ni kusimamia Taifa libaki katika misingi yake.
#Tanzania
#Kenya
#Uganda
#Rwanda
#Burundi
#Kongo
DuhTz imeshauzwa kwa mafisadi na habari yake imeshakwishilia mbali,andaeni vizazi vyenu kutafuta taifa jingine kwani mmesinzia hadi kuuzwa Mchana kweupee,π€
Nalo neno lakini huko mbele kupiga mitikasi inaweza kuwa ngumu kama taifa halitabaki kwenye misingi yakeAisee....dunia imevaa dela ! Mambo sio mambo !
Wewe tafuta tu hela uwezavyo, iwe kwa halali ama haramu!!!!!!!
Ishi maisha yako, enjoy na family yako basi hakuna kingine