Mimi ni kijana mwenye taaluma.
Nimetafuta kazi ya kuajirirwa kwa mshahara unaolingana na taaluma yangu bila mafanikio.
Naishia kufanya vibarua tu.
Nimeona niwatafutevijana wengine wenye fani mbalimbali tuungane na kuanzisha kitu kitakachoweza kututengenezea ajira.
Kwa pamoja naamini tutaweza, nina vitu vingi vya kuwashirikisha lakini pia nitajifunza toka kwenu.
Kama utapenda tuwasiliane nitumie Private message (PM)