Kijana,usilie na ajira,beba vyeti vyako onana na waziri,(komaa nae) utaajiriwa, uoga wako ndio umaskini wako! Ila usiombe Pesa

Amina68

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
298
Reaction score
547
Habari wanajukwaa!

Kijana,usilie na ajira,beba vyeti vyako onana na waziri,(komaa nae) utaajiriwa, uoga wako ndio umaskini wako!

Njia hii unafanya kazi,na utapata kazi, siku zote usije jaribu kumtafuta waziri wa wizara ,ukamuomba pesa,

Wewe beba vyeti vyako nenda, siku hizi ajira ni huruma na sio sifa na umahiri Tena!

Best wishes(waziri kuku address kwa CS ni Rahisi zaidi)
 
Ni kweli ,hawa wanahitaji informers wao Mara watokapo ktk nafasi zao
 
Inategemeana kama nyota yako na ya waziri zimeendana! Kama haziendani, ukimpa vyeti vyako anaviweka kwenye dustbin ukiishampa mgongo!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom