Yes,
athari za ugonjwa huo wa unyongovu ni mbaya sana gentleman, kujiona huna thamani, kujitishia kujiua mwenyewe, makasiriko na mihemko useless ni nje nje aise.
In fact,
kila kitu na kila mtu anaweza kua mbaya kwako bila sababu yoyote ile, kama ambavyo tunaona wadau wengi wa JF wanavyolipukaga na kuexpose namna sonona ilivyo watafuna saikolojikali 🐒
Pombe..Mirungi...Mibangi na mashisha lazima upagawe...
Watoto wa siku hizi mafala sana....
Upo tayari kuteketea kwa sababu ya mwanamke?..stupid indeed!