Kijana wa kazi mjasili mali

Kijana wa kazi mjasili mali

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Hallow jamii forum tanzania.

kampuni ya zenith Training inajihusishana mafunzo ya komputa na project tofauti inahitaji vijana wawili wenye uwezo wa kujieleza, kuongea kingereza, wenye kupenda kujiajiri,mbunifu na moyo wa kujituma kwa ajili ya kushirikiana nao kwenye project yao ya sasa na zijazo.
awe mkazi wa dar es aslaam umri kati ya 18-26.
mwanamke 1 mwanaume 1.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi:
Namba 0713-810857
Penda kujituma na sio kutumwa
tuko magomeni mwembechai jijini Dar es salaam.
 
Sasa sijaelewa kidogo? Mnatoa mafunzo ya kompyuta na ujasiriamali au mnatoa ajira za kompyuta na ujasiriamali..
Fafanua kidogo mkuu,make wengine tunaishi mabwepande,so kutoka huku mpaka magomeni na nauli hiyo afu mtu huelewi what next,kidogo inaumiza.
 
Hata mimi cjalielewa hili tangazo,waajili hebu basi kuweni clear and certain kama nia yenu ni kuwasaidia vijana! Maana hapo nimeona qualification ya kingereza tu na age,je mnashirikiana nao means mnawaajili ama! Ila 2nashukuru kwa hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom