1) kwa yeyote anayetafuta kijana wa kazi saloon, anaweza kutumia vifaa vyote vya saloon, wapo watu wakumdhamini, anapatikana kwa # 0717780800
2) msichana wa kazi anauzoefu na kazi za steshenary, supermarket, na shughuli zinazofanana na hizo, ukimwitaji nakuunganisha