Kijana wa kimarekani vs kijana wa bongo

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
WALLET YA KIJANA WA MAREKANI
1:Visa Card
2πŸ˜€riving License
3:Hela ya matumizi

WALLET YA KIJANA WA TANZANIA
1:ATM card ya NMB
2:ATM card CRDB
3:Kitambulisho cha Taifa
4:Leseni
5:Kadi ya mpiga kura
6:Business card kama 15
7:Hela ya matumizi

POCHI YA BINTI WA MAREKANI
1:Visa card
2πŸ˜€riving License
3:Business Card 3 muhimu
4:Hela ya matumizi

POCHI YA BINTI WA TANZANIA
1:Tissue
2:Toilet Paper
3:Always
4:Lip bam
5:Lip shiner
6:Kioo kilichopasuka
7:Wanja
8:Foundation
9:Lotion
10πŸ˜€eodorant
11:Vaseline ya mgando kakopo kadogo
12:Toothpick
13:Miwani kuuubwa
14:Leso 3
15:Kufuli (umeelewa namaanisha ipi)
16:Line za simu kama 6
17:Kanga
18:Mtandio
19:Wigi
20:Hela za matumizi (NATANIA TU)
21:ATM card (hajui password)
22:Chaja ya simu
23:Chanuo
24πŸ˜›afyum
25πŸ˜›ipi, chocolate, bublish
26:Viatu
27:Rangi za kucha
28:Hereni
29:Kibanio cha nywele
30:Night dress
31.Power bank
32.powder

UKIMAINDI NAONGEZA VINGINE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 



Kwahiyo unataka kusema hio no 20 na 21 hio card yards Atm kaiokota?,na kuhusu hela za matumizi napo pia holaaa....
 
Duh! Hiyo ni pochi au bag la kusafiria kwenda Chamwino makao makuu???? Umesahau wavulana na wasichana wa Marekani hawakosi Key holder yenye funguo zisizopungua kumi na zaidi.
Lip sticks hata hao wanabeba tena kila wakitoka washroom lazima wakazie, Perfyum wanapeba nao ila siyo hizi za kuua pua.
 
ya kibongo ina kaukweli flan hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo binti wa Kitanzania ni duka linalotembea sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…