😅😅ni hard ware lakini sio viungo vya binadamu.Nipo hapa ila nataka laki tano mshahara na marupurupu kibao.
Jaribu bahati yako, wishing you a good luckNishakosa kazi hii 😢dah!
Nani kasema siku hz wimbi la wanaume hatupati kazi kwa sababu mmepewa kipaumbele madameWa kike tunakosa kazi duh
kama iyo hardware nimekosaNani kasema siku hz wimbi la wanaume hatupati kazi kwa sababu mmepewa kipaumbele madame
Try me!Shida ya vijana wizi, wizi jamani wiziii.....hadi unajiuliza hivi huyu alikua anatafuta mahali pa kazi au pa kuiba.
Hapana sio wote vijana tupo serious na kazi life likikupiga akili inakuwa sawa sawa,Shida ya vijana wizi, wizi jamani wiziii.....hadi unajiuliza hivi huyu alikua anatafuta mahali pa kazi au pa kuiba.
Najivunia kazi yangu, niite fundi ya makasi 🦅Shida ya vijana wizi, wizi jamani wiziii.....hadi unajiuliza hivi huyu alikua anatafuta mahali pa kazi au pa kuiba.
vp ushapata kijana?NAFASI YA KAZI
Anatafutwa Kijana wa Kiume wa kuuza duka -Hardware (tarehe ya mwisho 15/7/2025).
SIFA
🔹Awe amemaliza Kidato cha 4
🔹ANAEJUA HESABU
🔹Umri miaka 20 au zaidi
🔹ANAEISHI MADALE, WAZO, KULANGWA au maeneo jirani.
🔹Mwenye uzoefu atapewa kipaumbele.
🔹Muombaji atume maelezo mafupi kuhusu yeye kwa whatsap/meseji 0755171925.
Utaiba magov*?Najivunia kazi yangu, niite fundi ya makasi 🦅
Nime sema kazi yangu haihitaji kupata wasaidizi, naji tegemea 🦅Utaiba magov*?
Muda wa kutafuta kazi ndo huwa mpo hivi ngoja muipate sasa.....Hapana sio wote vijana tupo serious na kazi life likikupiga akili inakuwa sawa sawa,
Nkajua ya mochwariNime sema kazi yangu haihitaji kupata wasaidizi, naji tegemea 🦅