Kijana wa kusambaza sabuni kwa wateja anahitajika

Kijana wa kusambaza sabuni kwa wateja anahitajika

Lagrangian

Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
79
Reaction score
66
Wasalaam waungwana.

Kama mada ilivo, mimi ni mfanya biashara wa Sabuni za Magadi za Kigoma. Natafuta kijana atakaenisaidia kusambaza bidhaa za sabuni kwa wateja. Wateja tayari wapo kwa hiyo kijana yeye kazi yake itakua kuwapelekea.

Sifa.
• Awe wa kiume.
• Awe chini ya miaka 25.
• Awe tayari kufanya kazi kwa uaminifu.
• Ajue kusoma, kuandika na kuhesabu pesa.

Malipo.
Tsh 150,000/= hadi Tsh 200,000/= kwa kusambaza carton 50 hadi 100. Malipo yataongezeka zaidi kulingana na biashara itakavokua inaenda.
Chakula na malazi ni juu yangu.

Eneo
Morogoro

NB.
Kama uko interested naomba uni-PM au kama kuna mtu unafahamiana nae anahitaji kazi ya namna hiyo naomba uniunganishe nae.

Shukran wakuu.
 
Naomba namba yako nkuunganishe na mtu moja kwa moja anataka kazi
 
Anasambaza kwa usafir gan mkuu?na sisi wenye miaka 45 mbona mnatutenga mnahitaji vijana tu
 
Back
Top Bottom