Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bustani ina ukubwa gani Boss?Habarini wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, anahitajika kijana wa kusimamia shughuli za bustani ya mbogamboga hii ni kulima na kumwagilia, mashahara laki moja kwa mwezi, awe na uzoefu, nicheki namba 0653828027
Unalima kwa trekta auRobo Eka boss wangu