Kijana wa miaka 25 aoa Mama wa miaka 56 Kenya

Huyu kijana kwa hiari yake amuamua kuwa mtumwa wa ngono.
safi sana mashuga mami..
 
Kinachotakiwa hapo ni upendo wa dhati, kwani wako wanaooana kwa miaka inayokubalika lakini hawana amani katika ndoa zao sasa lipi jema kuwa na amani au mi naona poa tu ili mradi wanapendana

Kachoki
 
kweli hii sio ndoa ya kudumu ..kijana hapo anategemea kupata watoto au?
 
kweli hii sio ndoa ya kudumu ..kijana hapo anategemea kupata watoto au?

FL,
Adam alipatiwa Hawa kwa ajili ya kampani na si kuzaa watoto. Hii ndo sababu ya "Kwa nini ndoa zisizo na Uzao Hazivunjwi". Watoto ni matokeo tu ya ndoa.
Lengo la ndoa ni kampani kwa wawili wapendanao.
 
If it is real love...."ng'ombe hazeeki maini". Kudos to them.
 
Duh!
Kweli we njaa!!
 
Hakuna noma! Kijana avumilie miaka ingine 10 au 15 halafu aibue kitu chake cha miaka 25. Au sie wajamani!
 
Naungana naye, maana hawa vicheche wa miaka 20-25 ni wasumbumfu kama nini, hata mimi siwataki
 
mbona poa tu kwani hapo tatizo nini?jimama lenyewe linaita kinoma hata mimi ningekubali,kuliko ufe njaa na hawa vicheche wetu wa uswazi wakuongezee presha juu yanini unaenda kwa jimama unakula full kipupwe,maraha na kila kitu maisha yenyewe yako wapi?ukizingatia hiyo kenya yenyewe mademu wote wanaangalia chapaa,huna kitu hupati demu wa maana nakwambia,mayanki wangapi hapo bongo mademu zao machangu kabisa wakuuza billz,ambiance,bistro,lakini wako nao na wanaishi nao kabisa demu anaenda kiwanja jamaa anashinda skani anacheza pool demu akipata mchati akimuonga dola mia au 50 baada ya kushughulikiwa ipasavyo anarudi kwa jamaa yake na wanapika wanakula wanapumzika na jioni mama anaenda tena kazini,ikiwezekana jamaa anamsindikiza kabisa.yote maisha
 
It's true???? wataishi kweli au jamaa ndo ame focus kitu kwa grandmother. i like .....but..........
 
It's true???? wataishi kweli au jamaa ndo ame focus kitu kwa grandmother. i like .....but..........
ndio manaake,jamaa kafocus mshiko mamaa nae anataka apate dogodogo amfikishe yanini tabu?sasa na mihela yooote hiyo angeenda kuchukua jizee lenzie lanini? mi naona poa tu.
 
ndio manaake,jamaa kafocus mshiko mamaa nae anataka apate dogodogo amfikishe yanini tabu?sasa na mihela yooote hiyo angeenda kuchukua jizee lenzie lanini? mi naona poa tu.

Umenena mkuu, hapo ni win win game
 
Mwanamke akifika zaidi ya miaka 45 kupata watoto wenye akili nzuri ni shida. Wanaume wanadunda tu upo hapo sio double standard.
Aliyekuambia wameoana ili mwanamke apate watoto nani? Huyu mama ni mtu labda kajikuta mpweke akaon anahitaji mwenza tu! Anyway mengine watajua wao na mapenzi yao.
 
Kama jimama lina mihela ya kutosha...kwanini nisiache kazi ya kuzibua vyoo na kuoa kama linachotaka ni penzi tuuu!
 
Aliyekuambia wameoana ili mwanamke apate watoto nani? Huyu mama ni mtu labda kajikuta mpweke akaon anahitaji mwenza tu! Anyway mengine watajua wao na mapenzi yao.

Yeah...anahitaji mwenza wa kummega. Kachoka kutumia zana feki. Anataka zana halisi inayofanya kazi bila msaada wa kidonge cha buluu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…