Kijana wa miaka 25 aoa Mama wa miaka 56 Kenya


Haya siyo maisha ndugu yangu! Huku ni kujidanganya tu.
Huyu mama kuoana na kijana ni tofauti na kijana anayejua mwanamke anajiuza ila kwa vile anataka dezo basi yuko radhi! Shame!
 
.........Mhhhh!! Sioni ajabu yoyote, mbona kuna wasichana wanachukuliwa na vibabu na wala hakuna cha ajabu.Muhimu mapenzi tu, age is nothing.
 
Haya siyo maisha ndugu yangu! Huku ni kujidanganya tu.
Huyu mama kuoana na kijana ni tofauti na kijana anayejua mwanamke anajiuza ila kwa vile anataka dezo basi yuko radhi! Shame!
hapo ulipobold i mean ndio mbaya ya kuwa na maGF wenye shida shida na tamaa inabidi uvumilie tu ukiwa nao.
 
Mnamuonea bure mama wa watu,mapenzi hayana macho au mmesahau wimbo wa Dr Remi ambao husema kwenye mapenzi kiwete hupakatwa,na mbona hamuwasemi wanaume wanaoa wajukuu wao,au Pedeshee Jacob Zuma wa bondeni anaona wake ambao sawa na watoto zake je Zuma anafuata pesa kwa hao wadada?hayo ni mapenzi wajameni achane kufikiria kuwa watu wakipendana wakiwa na umri tofauti ni suala la mshiko,
 
That is the new job description...Marrying a rich woman or man. No need to wokr hard at all.
This is the trend. Young people marrying much older spouses to avoid toiling and earning their own money.

Infact even older men keeping much younger men is the other new occupation.

this is the 21st Century after all.
 
sincerely speaking there is no problem unless someone has a concrete reasons.

However, in a religious point of view there could be a lot of questions as 'what is the union of man and women for? bibles says the basic intention is getting babies! are they going to get one?
 

is it\?
What about those who have not been blessed with children? I thought babies were simply gifts from GOD!.................Remember that Abraham's wife Sarai didnt get a child until she was in her 80's!..Mbona hawakuachana kama ndio intention ya union of a man and woman from biblical point of view?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…