Mkuu nimecheka sana kkwa kuona hii mbinu inafaaKila la kheri mkuu
Na mimi nikihitaji mchumba nitatumia mbinu hii
Hii inaitwa indirect methodMkuu nimecheka sana kkwa kuona hii mbinu inafaa
Heading inaonekana baba anamtaftia kijana ila maelezo yanaonekana baba ndo kijana mwenyeweMimi Ayub Muyo, nahitaji mchumba mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 31, atakayejali familia ile nini, ivaaje kwa kushirikiana na mimi. Na tutawajali ndugu wa pande zote, Mimi naabudu BWANA MUNGU WA ISRAELI, SDA CHURCH. Vitu ambavyo sili soma walawi Sura ya 11 yote. Sifa zingine na picha nimeziweka kwenye facebook account yangu. Km unadhani tutakubaliana piga 0753682968 kwa mawasiliano
Hupati kabisa hata wale wa uwanja wa fisiKila la kheri mkuu
Na mimi nikihitaji mchumba nitatumia mbinu hii
Ncherry1 nimekukosea nini mpendwa..Hupati kabisa hata wale wa uwanja wa fisi
Nakumbuka rais wa mitandao ya kijamii aliposema roma mkatoliki ndio nani? Ndio izi unazoleta weweMsukuke ndio nini?